upload
Teachnology, Inc.
Industry: Education
Number of terms: 10095
Number of blossaries: 1
Company Profile:
ukusanyaji wa mitandao ya eneo (LAN) kushikamana pamoja juu ya umbali kupitia mistari ya simu na / au mawimbi radio.
Industry:Education
Ni majaribio ya kutoa fursa wanafunzi zaidi kushiriki kozi; majaribio ni pamoja na marekebisho ya mahitaji ya kuingia au utaratibu mbadala ya kufundisha.
Industry:Education
Jumla ya idadi ya maneno yanayohitajika katika insha, Thesis au ripoti iliyoandikwa.
Industry:Education
Ni mkusanyiko wa maneno yaliyochaguliwa, kuwekwa na kupangwa kwenye ukuta katika orodha au vikundi ili kuwezesha wanafunzi kuwa na mazoea kwa maneno ya kawaida.
Industry:Education
Ni mafunzo yanayotokea katika maeneo ya kazi na kwa kawaida hukamilika chini ya usimamizi wa mfanyakazi wa kampuni akishirikiana na mkufunzi wa taasisi za elimu; mifano ni pamoja na utaratibi wa ushirikiano, mafunzo ya wanafunzi na tarajali.
Industry:Education
Ni ujumbe-mfumuko ambao ni pamoja na maandishi, picha, na viungo. Kiwango hiki mrefu.
Industry:Education
Ni mtu aliye na jukumu la kuvumbua, kusimamia na kudumisha tovuti ya mtandao.
Industry:Education
Ni madarasa yanayojihusisha na maendeleo au ujuzi wa biashara.
Industry:Education
Ni utaratibu wa kutoa, kuwasilisha, na kupata ujumbe kupitia kwa mtandao wa dunia nzima.
Industry:Education
Încadrarea studenţilor în locuri de muncă specifice sau programe pentru ocuparea forţei de muncă pentru a dobândi cunoştinţe de muncă şi a competenţe în afara instituţiilor tradiţionale de învăţământ.
Industry:Education
© 2025 CSOFT International, Ltd.