upload
Teachnology, Inc.
Industry: Education
Number of terms: 10095
Number of blossaries: 1
Company Profile:
Kampuni ambayo huwawezesha watu kupata huduma za mtandao kupitia laini za simu zao, nyaya za televisheni, ama mwunganisho wa setilite.
Industry:Education
Mazoezi ya kuandika kila siku kwenye kitabu ama kwingine kwa nia ya kurekodi mawazo na uzoefu wa mtu, kuunda hadithi ama kuhifadhi rekodi zilizoandikwa za matukio.
Industry:Education
Ujuzi muhimu unaohitajika ili kutekeleza jukumu ama kumwezesha mtu kupata kazi ikijumuisha ujuzi wa kusoma na kuandika, hisebabati, na ujuzi wa tarakilishi.
Industry:Education
Karatasi ambazo hupewa kwa wanachama wote wa kundi ambazo huwa na habari muhimu, kazi ya kufanywa ama miongozo ya zoezi.
Industry:Education
Zoezo ambapo mwalimu ama mwelekezi huongoza makundi madogo ya wanafunzi kwenye matini fupi ili kuwawezesha kujifundisha usomaji kifasaha, ufahamu, na mikakati ya kutatua hesabu.
Industry:Education
Shughuli ya kutoa gredi ama alama kwa shughuli iliyokamilishwa.
Industry:Education
Utathmini wa kundi zima na sio unaoegemea kazi ya mtu binafsi.
Industry:Education
Mawasilisho yaliyopangwa kwenye grafu yanayoonyesha mfuatano wa fulani ambao mara nyingi huonyesha mchakato fulani.
Industry:Education
Ujuzi ambao ni muhimu na unaoweza kutumika katika hali mbalimbali na unaohitajika na mtu binafsi ili kufanya kazi katika karne ya 21.
Industry:Education
Aina ya elimu wanayopewa wanafunzi ambao kimwili hawataki kuwepo kwenye taasisi; hapo mbeleni, vifaa vilikuwa vinatumwa kwa wanafunzi lakini kwa sasa hutumwa kupitia mikutano inayowezeshwa kupitia tarakilishi, video, mtandao, na njia zingine za kielektroniki.
Industry:Education
© 2025 CSOFT International, Ltd.