upload
Teachnology, Inc.
Industry: Education
Number of terms: 10095
Number of blossaries: 1
Company Profile:
Uwezo wa kutumia ujuzi na uelewa uliojifunza kuhusu nyanja fulani katika kutatua jambo lingine.
Industry:Education
Ujuzi uliogundulika na watu fulani ambao unaweza kutumika katika mazingira mbalimbali.
Industry:Education
Matokeo ya mwanafunzi ya kozi mbalimbali
Industry:Education
Watu kukusanyika na kufanya kazi pamoja kwa lengo moja.
Industry:Education
Makadirio yaliyopangiwa muda maalumu wa kumalizika, mf. mtihani wenye muda maalumu wa mwisho.
Industry:Education
Mbinu au njia za kuhakikisha kuwa muda unatumika kulingana na taratibu husika.
Industry:Education
Mawasiliano yanayojitokeza papo hapo kati ya wahusika ambao huweza kuwepo au kutokuwepo pamoja katika eneo husika. Kinyume chake ni Mawasiliano mbadala
Industry:Education
Makadirio yaliyofanywa baada ya kujifunza kwa lengo la kutoa tadhimini ya mwisho ya mtu aliyeelewa vizuri.
Industry:Education
Mafunzo ya taarifa za jumla; si kujifunza kwa undani.
Industry:Education
Matarajio ya mafanikio ya wanafunzi mara baada ya kujifunza
Industry:Education
© 2025 CSOFT International, Ltd.