Home > Term: Huduma za Uidhinishaji
Huduma za Uidhinishaji
Mac OS X API inayowezesha udhibiti wa fine-grain wa operesheni zilizobahatika, kama vile kufikia maeneo yaliyofungiwa ya mfumo endeshi na sehemu binafsi zilizofungiwa za programu yako ya Mac OS X. Seva ya Usalama hutumia maamuzi yenye msingi juu ya sera kuidhinisha haki za watumiaji.
- ส่วนหนึ่งของคำพูด: noun
- อุตสาหกรรม/ขอบเขต: Software; Computer
- Category: Operating systems
- Company: Apple
0
ผู้สร้าง
- msimbopau
- 100% positive feedback