Home >  Term: seva ya uhalalishaji
seva ya uhalalishaji

seva iliyo na ufikivu kwa hifadhi ya taarifa ya uhalalishaji na inayoweza kuhalalisha watumiaji. Kwa mfano, seva ya uhalalishaji yaweza kudhibitisha utambulisho wa mtumiaji kwa kuharakisha mtumiaji kwa ajili ya jina na neno siri na kulinganisha taarifa hiyo na majina na maneno siri kwenye hifadhi data. Katika uhalalishaji wa Kerberosi, seva ya uhalalishaji pia hutafuta kitufe cha siri cha mtumiaji, hutoa kitufe cha kipindi, na huunda TGT. Ona pia seva ya kupeana-tikiti.

0 0

ผู้สร้าง

  • msimbopau
  •  (Bronze) 90 points
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.