Home >  Term: kihariri cha kifurushi cha bidhaa
kihariri cha kifurushi cha bidhaa

Kidirisha kwenye dirisha la mradi wa PackageMaker ambacho hubainisha taarifa ya ufungaji vifurushi na kusanikisha kuhusu bidhaa. Kidirisha hiki huonyeshwa wakati kifurushi cha bidhaa kimeteuliwa katika orodha ya kifurushi.

0 0

ผู้สร้าง

  • msimbopau
  •  (Bronze) 90 points
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.