Home >  Term: mwelekeo wa matini
mwelekeo wa matini

mwelekeo ambapo kusoma huendelea. Kirumi Nakala ina mwelekeo wa kushoto ikielekea kulia; Kiyahudi na Kiarabu (kwa wingi) mwelekeo wa kulia-kushoto, Kichina na Kijapani yanaweza kuwa na mwelekeo wima.

0 0

ผู้สร้าง

  • Ann Njagi
  •  (Gold) 2927 points
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.