- Industry: Computer; Software
- Number of terms: 54848
- Number of blossaries: 7
- Company Profile:
Apple Inc., formerly Apple Computer, Inc., is an American multinational corporation headquartered in Cupertino, California, that designs, develops, and sells consumer electronics, computer software and personal computers.
Atomi ya aina 'free', ambayo inaweza husishwa kwa faili ya QuickTime kama kishikanafasi kwa nafasi ambayo haijatumika.
Industry:Software; Computer
Rejeleo linalotumiwa na Seva ya Usalama kufikia kipindi cha uidhinishaji kinachohusiana na mchakato.
Industry:Software; Computer
Kidirisha kwenye dirisha la mradi wa PackageMaker ambacho hubainisha taarifa ya ufungaji vifurushi na kusanikisha kuhusu bidhaa. Kidirisha hiki huonyeshwa wakati kifurushi cha bidhaa kimeteuliwa katika orodha ya kifurushi.
Industry:Software; Computer
10 月 17 日.2007。在一封公开信张贴到苹果公司的"最新新闻"博客,史蒂夫 · 乔布斯宣布一个软件开发工具包 (SDK) 发布于 3 月 6.2008,和开发人员,使 applations 的 iPhone 和 iPod 触摸,以及测试它们在"iPhone 模拟器"。
Industry:Software
Mac OS X API inayowezesha udhibiti wa fine-grain wa operesheni zilizobahatika, kama vile kufikia maeneo yaliyofungiwa ya mfumo endeshi na sehemu binafsi zilizofungiwa za programu yako ya Mac OS X. Seva ya Usalama hutumia maamuzi yenye msingi juu ya sera kuidhinisha haki za watumiaji.
Industry:Software; Computer
Katika sauti, mkondo wa MIDI au data ya tukio inayoweza kuchezwa kwa kutumia kicheza muziki. ona pia mkondo, mfuatano
Industry:Software; Computer
kujirudia kwa sifa wakati mtumiaji anaposhikilia kitufe chini kinachowakilisha sifa ile.
Industry:Software; Computer
Katika Xcode, aina maalum ya rejeleo la faili inayorejelea uzalishaji wa mfumo uliojengwa ya lengo hasa. Rejeleo la bidhaa hukuwezesha kutazama bidhaa ya lengo lako kwenye orodha ya Makundi & Faili.
Industry:Software; Computer
Ugha wa data kwenye orodha ya ufikivu uliodhibitiwa (ACL) inayobainisha opereshaeni inayoweza kufanywa na kipengee hicho cha keychain, kama vile usimbaji fiche na uhalalishaji.
Industry:Software; Computer
Mchanganyiko wa daraja la tukio na aina ya tukio inayotambulisha tukio kwa njia ya kipekee kwa Msimamizi wa Tukio la Carbon Ona pia daraja la tukio, aina ya tukio.
Industry:Software; Computer